Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam
30/9/2024
Nyumba inapangishwa stand alone inajitegemea
Bei 500000 Kwa mwezi
Miezi 6
Location bunju b
Vyumba 3 kimoja master bedroom sitting room kitchen cabinets dinning room public toilet
Contact 0745010009