Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI SANA ๐ก๐๏ธ INAJITEGEMEA INAPANGISHWA
MAHALI: BUNJU A SHULE
INA VYUMBA VITATU CHUMBA KIMOJA MASTER SEBLE DINING JIKO NA PUBLIC TOILET PIA INA SERVANT KOTA
KODI: TSH 600K KWA MWEZI
TUWASILIANE
Call/ whatโs up
+255673772289
Email:dalaliboris@gmail.com