Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Buswelu, Mwanza
NYUMBA MPYA INAPANGISHWA BUSWELU
-ina vyumba vitatu vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, dinning, jiko na public toilet
-umeme na maji unajitegemea
-kodi Mil 3.5 kwa mwaka
-malipo ni miezi sita
☎️ 0743220097