Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Buzuruga, Mwanza


NYUMBA INAPANGISHWA BUZURUGA
-ina vyumba vitatu vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet
-ina heater, makabati jiko na vyumbani, CCTV camera, garden na public toilet ya njee
-kodi Milioni 7 kwa mwaka
-malipo miezi sita
NB:- Nyumba Moja Ndani Ya Fensi
📞 0743 220097