Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


🏡 Nyumba ya Kisasa Inapangishwa
IPO Goba Kulangwa
🛏 Vyumba 3 vyote ni master
🛋 Sebule kubwa
🍽 Jiko, dining & 🗄 stoo
🚽 Choo cha wageni
🏊♂️ Swimming pool
📍 Eneo tulivu, maji na umeme upo, barabara nzuri
💰 Kodi: Milioni 2 kwa mwezi
📞 Wasiliana:
0692406639