Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa vyumba vitatu vyakulala kimoja master bedroom public toilet jiko kumbwa Sana pia nyumba nimpya kabisa
Huduma maji dawasco na umeme unajitengemea
Nyumba zipo goba njia4 kutoka lami dakika Tano5 tu
900,000 kwa MWEZI
Miezi 6
Nipigie simu 0621875388