Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Goba, Dar Es Salaam







#VYUMBA_VITATU
VILLA INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI- GOBA YA MWANZO
KODI TSHS MIL 1,000,000/= KWA MWEZI
YA KIFAMILIA
YENYE
Vyumba Vitatu vya kulala #kimojaMasta, #Sebule #dinning #Ac #Jiko zuri lenye #Makabati
#Gypsum #Tiles #aluminium #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
Nje #Pavingblocks
#Fencedvilla
Nione
dalalimbezibeach_salasala
Call/whatsp
0692406639