Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Igoma, Mwanza
#STAND ALONE HOUSE FOR RENT AT MPIGI MAGOHE
===
Inajitegemea yenyewe kwenye fence
Inavyumba 3 vyakulala kimojawapo master bedroom sebule dinning jiko public toilet stoo
Kodi 250,000 Kwa mwezi × 4
Inaeneo kubwa unaweza kufuga , MPIJI MAGOHE IGOMA
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
CONTACT: 0672 673363