Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Ilala, Dar Es Salaam







NI NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAPANGISHWA
IPO ILALA KARUME KARIBU KABISA NA KITUO CHA DALADALA HAPA KARUME UMBALI WA DK 4 TU KUTOKA KITUON
KODI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
SIFA ZAKE
=========
INA VYUMBA VITATU VIKUBWA VYA KULALA KIMOJA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA DAINING JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZURI KWA FAMILIA YAKO
NYUMBA NZURI IMESHAPIGWA RANGI NDAN KEDHO FUNDI ANAANZA NJE
INA TILLES GYPSUM SAFI LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW NDAN IPO NDANI YA FENSI ILA SIO YA KULAZA GARI ULINZI WA KUTOSHA FULL KAMERA
SERVICHAJ ELFU 20
CONTACT
0712656027