Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Ilemi, Mbeya
Ilemi, Mbeya CBD, Mbeya
2 months ago
Sh. 150,000 per month
Kina Nyumba tatu
1. Single master bedroom kodi 70k
2. Chumba kimoja master bedroom na sebule jiko Kodi 150k kwa mwezi
3. Ya video ni vyumba viwili vya kulala kimoja master bedroom na sebule jiko Kodi 250k kwa mwezi
Location ilemi
0742941423