Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Isyesye, Mbeya
Nyumba inapangishwa 250,000/- kwa mwezi,nyumba ipo veta Isyesye ina vyumba 3 vya kulala,store,jiko,sebule na master ,choo cha ndani n.k, malipo ni miezi 6 na kuendelea.
Nyumba ina uzio mrefu na geti kubwa,uwanja wa ndani kwa ajili ya parking ,kucheza watoto na shughuli za bustani .piga namba 0786378410 kwa mawasiliano.