Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Iwambi, Mbeya



Nyumba inapangishwa inajitegemea kwenye fensi
Vyumba vitatu vya kulala kimoja master bedroom na sebule jiko
Location iwambi
Distance dakika mbili kutoka lami main Road
Kodi 250k kwa mwezi
Malipo miezi sita
0742941423