Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kibaha, Pwani


#NYUMBA KALI SANA INAPANGISHWA
Mahal kibaha picha ya Ndege
UMBALI KM 3 KUTOKA MOROGORO ROAD
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VITATU VYA KULALA VYOTE NI MASTER BEDROOM
SITTING ROOM KUBWA SANA
DINNING ROOM KUBWA
KITCHEN WITH CABINET
PUBLIC TOILET
STORE
MAJI DAWASCO
UMEME UPO
VYUMBA VYOTE VINA FENI PAMOJA NA SEBULE NA SITTING
NYUMBA IPO NDAN YA FENS
INA ENEO KUBWA KAMA MFUGAJI LINA KUFAA AU KAMA UNATAKA KULIMA MBOGAMBOGA ENEO LIPO KWA NDAN
KODI 350000x6
Site visit 20000
☎️ #0757208653_whatsapp