Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam
NYUMBA KUBWA NZURI INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE/ STAND ALONE HOUSE INAPANGISHWA KIBAMBA CHAMA #450K
===
Vyumba 3 vyakulala kimojawapo master bedroom sebule dinning jiko kubwa lenye makabati public toilet
===
Kodi 450,000 Kwa mwezi × 6
===
Umbali km 1 tu Kwa mguu dakika 15
Ndani ya fence parking kubwa, electric fence full security cameras
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
==
0679447338
0753454167