Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam
#STAND_ALONE/ NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE 300K
Vyumba 3 vyakulala kimojawapo master bedroom sebule Dinning public toilet JIKO KUBWA NA STOO
Bei : 300,000 Kwa mwezi × 6
Ndani ya fence parking IPO
Umbali KM 2 Usafiri bodaboda 1000
Inajitegemea kila kitu
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
#0710614924
#0688653940