Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam
#STAND_ALONE/ NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE 350K
Vyumba 3 vyakulala kimojawapo master bedroom sebule public toilet JIKO KUBWA nje na ndani
Bei : 350,000 Kwa mwezi × 6
Ndani ya fence parking IPO
Inajitegemea kila kitu
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0679447338
0753454167