Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam







STAND ALONE HOUSE / NYUMBA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE 350K
Vyumba 3 vyakulala kimojawapo master bedroom sebule Dinning na public toilet jiko
Kodi 350,000 Kwa mwezi,× 6
Umbali KM 1.5 Usafiri bajaji zipo barabara ni ya Lami
Inajitegemea kila kitu
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0679447338
0753454167