Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam


NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
<> location kibada
<> nyumba ina vyumba vitatu kimoja Master sebule dining na jiko mpya full ac
✅nyumba iko fenced
✅nyumba Ina parking
✅nyumba Ina electric ⚡️
✅nyumba iko barabarani
✅nyumba Ina mazingira safi
✅nyumba mpya na ya kisasa
<> asking price tsh,, 600k per month
mwezi moja wa dalali kisiwani
<> services charge 20k zingatia utalatibu
◾️mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837


















