Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa inajitegemea sifa zake ni
Vyumba 3 vya kulala chumba kimoja ni master
Sebule kubwa
Jiko kubwa n k
Kodi 350k kwa mwezi
Ipo kigamboni geza ulole tuwasiliane mapema
๐โ 0746914709