Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam
Nyumba zinapangishwa sifa zake ni
Vyumba 3 vya kulala chumba kimoja ni master
Sebule kubwa
Jiko nzuri safi n k
Kodi 500k kwa mwezi
Zipo kigamboni geza ulole tuwasiliane mapema
📞☎ 0746914709