Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam


NYUMBA ZINAPANGISHWA
Kigamaboni gezaulole 📍
✅ Vyumba vitatu vyote master Sebule jiko & public toilet
✅ Ndani ya fence
✅ Standing alone
✅ Umeme & maji unajitegemea
✅ Meter 400 kutoka barabarani
👉 bei 650k kodi kuanzia Miezi 6
👉 zingatia service charge 20k.. ukilipia Nyumba dalali mwezi 1
Welcome Kigamboni
#realestateagent #nyererebridgekigamboni🇹🇿 #diamondplatnumz #diamondplatnumz_trends #mbossokhan #kigamboni #nyererebrigde #kigambonifinest1


















