Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam
🏡NYUMBA INAPANGISHWA
(INAJITEGEMEA)
📍Kigamboni-Darajani
💰700,000X12 Na mwezi mmoja wa dalali
Details
•Vyumba vitatu vya kulala(Kimoja Master)
•Sebule
•Jiko
•Common Washroom(Choo)
•Umeme na Maji Unajitegemea
✅Fenced
✅Parking
✅Nyumba Mpya
✍️SURVEY CHARGE(Gharama ya kuzunguka mpaka upate nyumba utayoipenda)
20,000/=
☎️0621393139(WhatsApp/Call/Text)
📲0769063139(Call/Text)