Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam


📍Kigamboni Cheka
🌷Vyumba vitatu viwili ni Master
👉Nyumba Inapangishwa
👉Nyumba Inajitegemea
💰350,000/= kwa mwezi
👉Malipo kuanzia miezi Mitano
👉Sebule
👉Dining
👉Store
👉Choo cha jumuiya
✅Nyumba ipo ndani ya fensi
✅Nyumba ipo mtaa/mazingira mazuri
💧Maji masaa 24/7
📲Call/Whtsp
📲0714079500
📲Normal Call
📲0693658222


















