Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam


✅️VYUMBA VITATU KIMOJA MASTER SEBURE NA JIKO LAKE KWA 400K
✅️NYUMBA MPYA NA IPO NDANI YA FENSI USALAMA WAKUTOSHA KABISA BOSS WANG
✅️KODI KUAZIA MIEZI 4 NAKUENDELEA BOSS WANG
✅️NYUMBA IPO KIGAMBONI KISIWANI
✅️KUTOKA KISIWANI HOSPITAL MPKA KWENYE NYUMBA BODA BODA 1000 AU 1500
✅️MALIPO YA DALALI 400K SERVICES 20K 📱 0750 886 103