Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kilimanjaro, Kilimanjaro


FULL FANISHED,
YENYE VITU NDANI.
NYUMBA IPO SHANTY TOWN.
NYUMBA INA VYUMBA VI 3, KIMOJA WAPO NI MASTER, SEBULE,JIKO NA STOO.
NYUMBA HAIJITEGEMEI BALI NI APARTMENTS.
KWENYE COMPOUND ZIPO NYUMBA 3.
BEI NI 700,000 KWA MWEZI.
KARIBU SANA TUASILIANE 0625369161
MOSHI KILIMANJARO.