Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI KUBWA SANA INA PANGISHWA 
LOCATION: KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI 
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER 
SEBULE NIYAWASTANI SOKUBWA SANA
CHOO CHA FAMILIA NDANI 
JIKO KUBWA SANA
UMEME LUKU YAKO
MAJI YANA FLOW NDANI 
KODI 350,000X3X4
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK 
UMBALI KM 1.5 
BODA 1000
BAJAJI 700
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI 15,000 
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
0713661530_0783661530




















