Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







STAND ALONE NYUMBA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE FAMILIA KUBWA
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 3 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI YA KISASA
#DAINING TABLE
#PUBLICK TOILET
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#FULL ICE
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE PARKING YA KUTOSHA
#LOCATION KIMARA STOP OVER DK 5 TU KWA MIGUU KUTOKA MAIN ROAD NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 700,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
0715949085