Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







STAND ALONE KUBWA YA FAMILY IPO JIRANI NA BARABARA INA PANGISHWA
KODI. 400,000/=X6
KUONA NYUMBA 15000/
DALALI 400,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
LOCATION: KIMARA SUKA DAKIKA 4 KWA MGUU
VYUMBA VITATU VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA SANA NA DINNING
JIKO KUBWA NA STORE
CHOO CHA FAMILIA NA BAFU LAKE
KILA CHUMBA KINA MAKABATI YA NGUO
MAJI YANA TILILIKA NDANI
IPO NDANI YA FENSI PACKING SPACE KUBWA SANA FULL PAVING BROCK
KUONA NYUMBA SERVICE CHURGE 15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
====
Cont
0683234124
0718367179



















