Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE STAND ALONE KIMARA BARUTI DK2 KUTOKA LAMI
------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Dinning room
Jiko
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Fence ya waya
Parking space kubwa
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 400,000/=×6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4
---------
Contact
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693_673010
#dalali_big_kimara 🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT 🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA FANYA NA NA WENYE WENYE NA WALIYO SAJILIWA 🙏