Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI NYUMBA ZIKO 3 TU KWENYE FENSI MOJA ZIKO MBALI MBALI KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 30/07/2025 KUONA MALIPO RUKSA
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 3 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#DAINING
#PUBLICK TOILET
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING ZINAWEKWA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGURE DK 15 KUTOKA MWENDOKASI BAJAJI AU DALADALA /500TU UKISHUKA MPAKA KWENYE NYUMBA DK 7 KWA MIGUU
#BEI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
#0710614924
#0688653940