Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 700,000/= X 6
NYUMBA HII KWENYE FENSI MOJA ZIPO NYUMBA 2 TUU KUNA HII KUBWA YA MBELE NDIO INAPANGISHWA NA INASIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#AIR-CONDITION
#GARDEN
#PARKING KUBWA
#ZIPO NYUMBA 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI
BEI NI 700,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA BUCHA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 8 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
Contact 0712474756