Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA KUBWA NZURI YA FAMILIA NI YA KUHAMIA TUU INAPANGISHWA KIMARA SUKA BEI NI 500,000/= X 6
๐ NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#STORE
#HEATER
#CAR PARKING
#ZIPO NYUMBA 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PARKING KUBWA YA KUTOSHA
BEI NI 500,000/= X 6
๐ซ๐ซ NYUMBA HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 4 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
KITEMO DALALI KIMARA GOBA
CONTACT
SMS CALL WATSUP
0719745506
0741994657