Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


.
KIMARA TEMBONI
Nyumba inapangishwa KIMARA DAR ES SALAAM
Nyumba inajitegemea yenyewe kwenye fance
Ina vyumba vitatu vya kulala
Sebule
Jiko
Dinning room
Full A/C
Nyumba ina kile kigezo unachokitaka
Labda uje na vigezo vyako kutoka Mbinguni
Ipo umbali wa 2Km toka Morogoro road
Mode ya malipo changua hapa chini
Kodi 600,000/= Tzs kwa mwezi kodi ilipwe miezi sita
Ama
Kodi 500,000/= Tzs kwa mwezi kodi ilipwe miezi kumi na mbili
Kwa nyumba kali wasiliana nasi ama fika ofsin kwetu Mwenge Lufungira
Vigezo na utaratibu kuzingatiwa
Viewing fee 20,000/= Tzs
Agency fee ni sawa na hela ya mwezi mmoja ya nyumba husika
Piga: 0769138053
Follow: swahili_used_items