Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#STAND ALONE Inapangishwa KIMARA MWISHO
📍Kodi ni 600,000/= *6
_________
_________
• Vyumba 3 vya kulala (Kimojawapo Master)
• Sebule
• Jiko Linawekwa makabati
• Store
• Public Toilet
* Inajitegemea yenyewe kwenye Fensi
* Inajitegemea UMEME na MAJI
* Maji Yanatoka ndan
* Parking Kubwa
* Ndani ya fensi
* Inapigwa rangi upya
#Umbali wa 2KM kutoka Kituo cha Mwendokasi, udafiri bajaji, daladala Tsh. 700/=
______________
#Malipo ya Dalali Tsh 600,000/=
#Gharama ya Kupelekwa kuona Nyumba Tsh 15,000/=
______________
Simu
0679997610
0658884015
Msigwa