Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NI NYUMBA KUBWA SANA INAPANGISHWA
NYUMBA IPO KIMARA KOROGWE KM 1 TU KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS
USAFIRI BAJAJI 500 BODA ELFU 1000 TU MPKA NYUMBAN
KODI NI 400,000 TU KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA ILA KWENYE BEI MAONGEZI YAPO KIDOGO
SIFA ZAKE
#########
INA VYUMBA VITATU VIKUBWA VYA KULALA KIMOJA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA DAINING JIKO ZURI KUBWA STOO NA PUBLIC TOILET NZURI KWA FAMILIA YAKO
NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE HAPA ILIPO BADO KUJENGA FENS TU
NYUMBA INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDANI NASAA 24 HAPA MAJI NI UAKIKA
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUMU MPAKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT
0742260844
0657384670



















