Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
STAY ALONE HOUSE FOR RENT 350,000 X6 ILIPWE LAKI TATU NA NUSU MALIPO YA MIEZI SITA
NYUMBA IPO KIMARA MWISHO USAFIRI BAJAJI 1000 MPAKA KWENYE NYUMBA KM2
SIFA ZAKE
#VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER
#SEBULE #JIKO
#PUBLIC TOILET YA NDANI
#CEVENT COTER YA CHUMBA KIMOJA NJE
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE
PARKING SPACE IPO PEVING BLOCKS
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
SERVICE CHARGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO what saapp number 0689-547258