Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
🔰 Inapangishwa KIMARA TEMBONI SARANGA SHULE
📍 Kodi 270,000/= *6
__
_______
• Vyumba 3 vya kulala (kimojawapo master bedroom)
• Jebule
• Jiko
• Public toilet
* Ndani ya fence zipo 2
* Inajitegemea umeme na maji
* Parking Kubwa ya uhakika
#Umbali KM 3 kutoka Morogoro Road, Bajaji zinakuacha kwenye nyumba
_______
#Malipo Ya dalali Nasoni 270,000/=
#Kupelekwa kuona ni 15,000/=
№:- 0753172516