Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA KUBWA YA KISASA INA PANGISHWA STEND ALONE KIMARA MWISHO DK6 KWA MIGUU KUTOKA LAMI ITAKUWA WAZI TAR 20.12.2024 KUONA NA KULIPIYA LUKSA
------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Slide window
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 600,000/=×6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 6
---------
Contact
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA 🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏