Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam





LOCATION: KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
.
UMBALI KM 1.5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI BAJAJI 700 UKISHUKA DK 3 UPO NYUMBAN
.
KODI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
NI APARTMENT 3 TU KWENYE COMPAUND MOJA
.
SIFA ZAKE
========
VYUMBA VITATU VIKUBWA VYA KULALA KIMOJA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA DAINING KUBWA JIKO ZURI KUBWA STOO NA PUBLIC TOILET NZUR KWA FAMILIA YAKO
.
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZURI NA TULIVU
.
INAKUA WAZI MDA WOWOTE PINDI TU UKILIPIA KWA SABABU NI MWENYENYUMBA AHATOKA APA ANAHAMIA KIBAHA
.
SERVICHAJ ELIFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
CONTACT
#0677370515