Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA KUBWA NZURI YA FAMILIA YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE INAPANGISHWA BEI NI 600,000/= X 6
💥 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINING
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
BEI NI 600,000/= X 6
🇹🇿 NYUMBA HII IPO KIMARA BARUTI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI NJIA ILIYOWEKWA LAMI YA KUELEKEA CHUO NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 7 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
# Simu 0757 404087