Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA KUBWA YA KIFAMILIA INAYOJITEGEMEA KWENYE FENSI YAKE INAPANGISHWA
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 3 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#DAINING TABLE
#CHOO CHA WAGENI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE PARKING KUBWA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#LOCATION KIMARA MWISHO DK 5 TU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 600,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
0715949085
0782838336