Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
300,000 x6. 0759151524
VYUMBA VITATU WAI CHAP
NYUMBA INAPANGISHWA
INA JITEGEMEA UMEME NA MAJI
IPO KIMARA SUKA
UMBALI KM 2.5 USAFILI BAJAJI 800
Ipondani ya fence parking kubwa sana
boda boda 1000
Seble kubwa sana
Vyumba vitatu vya kulala kimoja master
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Service charge 15,000/
Kodi 300,000/=×6
ZINGATIA
UMBALI
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 300,000
0679 956 863
0759151524