Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#KODI 400K MALIPO MIEZI X 5
STAND ALONE INAJITEGEMEA KWENYE FENCI
LOCATION KIMARA KOROGWE 👉KWA MKUWA KUTOKA MAIN ROD KM 2
BAJAJI SH.500 UKISHUKA DK 5 UPO NDANI
BALABALA RAFIKI KWA GARI ZOTE
SIFA ZAKE👇
VYUMBA VITATU KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA SANA
JIKO
TOILET BUPLIC NDANI
UMEME MITA YAKO
MAJI YANA TIRIRIKA NDANI
PARKING SPACE KUBWA
NYUMBA IKO KWENYE FENCI
KODI 400,000 MALIPO MIEZI X 5
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA SH.15000
MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA🤝
Nb:nyumba inafanyiwa malekebisho semu zote zilizoalibika ndo unaingia
##0655256419