Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
Apartiment house for rent Kali Sana nzuri
Location kimara suka km 1 usafiri upo boda ni buku mpaka home
Kodi 450000 kwa Mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Room 3 moja ni Master bedroom
Sitting room
Kitchen with cabinet
Public toilet
Umeme luku yake
Maji dawasa ndan yanafloo
Paving block
Parking space fency
Dalali ubungo mbezi kimara
0785299128