Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE KIMARA TEMBONI KM1 KUTOKA LAMI.
--------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Dinning room
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Full air condition
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 500,000/=×6
-----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5
------------
O677370515