Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







STAND ALONE YA FAMILIA INAPANGISHWA
LOCATION KIMARA STOP OVER
KODI 500,000X6
UMBALI KM 1
BODA 1000
NI VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA DINNING NA JIKO LAKE NZUR NA TOILET PUBLIC YA NDANI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI PIA YANAFLOW NDANI
NDUGU MTEJA NYUMBA IPO NDANI YA FENSI NA LIZEVU TANK
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000
NA UKIPENDA NYUMBA BILA KUSAHAU MALIPO YA KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI
##0655256419