Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(400,000X6)KIMARA MWISHO 2KM KUTOKA MOROGORO ROAD BAJAJI 1000
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
LOCATION: KIMARA MWISHO
SIFA ZAKE KODI NI 400,000X6
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 3VITATU VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#DAINING
#JIKO KUBWA LINA MAKABATI
#STORE
#CHOO CHA WAGENI NA BAFU LAKE
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#NYUMBA IPO KWENYE FENSI INALAZA GARI NDOGO 2
#LOCATION KIMALA MWISHO UMBALI (2) KM KUTOKA MWENDOKASI
UFAFILI BAJAJI 1000
UKISHUKA DAKIKA 2TUU
BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI X6
KUONESHWA NYUMBA SH 15k
Dalali mwezi moja PINDI ULIPIAPO NYUMBA
➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453