Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
๐ NYUMBA NZURI SANA INAPANGISHWA NB;HAIPO NDANI YA FENSI INAJITEGEMEA UMEME WAKE NA MAJI YANAFLOW NDANI
๐ฅNICE HOUSE, GOOD ENVIRONMENT
SIFA ZAKE
>INAVYUMBA VITATU VYA KULALA VIKUBWA , KIMOJA MASTER
>SEBULEE
>JIKO LINA
>CHOO CHA PUBLIC (NDANI)
>STORE
>FULL MAKABATI
#TAILS
#GYPSUM
#OPEN WINDOWS
#FENI
#LUKU YAKO MWENYEWE
๐ฃENEO:KIMARA MWISHO
UMBALI KUTOKA BARABARANI KM 2 USAFIRI BAJAJI 700 NA BODABODA 1,000 MPKA KWENYE NYUMBA
๐ฐBEI:LAKI 300,000
ILIPWE LAKI TATU NA NUSU KWA MWEZI KWA MUDA WA MIEZI 6
SERVICE CHARGE ELFU 15
Ukilipa nyumba mwenzi mmoja wa dalali
0715949085
0782838336