Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA KUBWA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 6 
๐ NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO 
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA 
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA
#STORE
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24 
๐ฅHAKUNA FENSI ILA USALAMA UPO WA KUTOSHA NA GARI LINAFIKA HADI KWENYE NYUMBA 
BEI NI 400,000/= X 6 
๐ซ๐ซ NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA 
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
#0625606710



















