Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
(1,000,000X6)KIMARA KOROGWE KILUNGULE
➖➖➖➖➖➖
BANGALOO LA KISASA INAPANGISHWA NA LIPO SEHEMU NZURI SANA BEI NI 1,000,000/=x6 (MILIONI MOJA KWA MWEZI)
💥 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
# VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA YAPO AINA MBILI JIKO LA NDANI NA JIKO LA NJE
#VYUMBA VYOTE VINAMAKABATI NDANI
#PUBLIC TOILET
#AIRCONDITION
#GARDEN NZURI YENYE SEHEMU YA KUPUMZIKIA
BEI NI 1,000,000/=x6
PIA KUNA SERVANT COTER YA CHUMBA MASTER NA JIKO KUBWA LA NJE
🇹🇿 JUMBA HILI LA KISASA LIPO KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NJIA ILIYOWEKWA LAMI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI SH 50O/-
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
CONTACT
0716223412
0683597453